Alhadj Dk.Hussein Ali Mwinyi,ameitaka Kamati ya Msikiti wa Masjid Taqwa kushirikiana na waumini wa mskiti huo katika utatuzi wa changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii. 29/05/2021
Dk.Hussein Mwinyi ameahidi hatua kali zitachukuliwa kwa wote waliohusika na kasoro zilizotolewa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. 26/05/2021
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya Zanzibar imetakiwa kushirikiana vyema na Chama cha SKAUTI Tanzania. 26/05/2021
Nchi za Denmark,Finland,Norway na Sweden ya kuendelea kuiunga mkono Zanzibar kiuchumi na kimaendeleo. 25/05/2021