Alhadj Dk.Hussein Ali Mwinyi,ameitaka Kamati ya Msikiti wa Masjid Taqwa kushirikiana na waumini wa mskiti huo katika utatuzi wa changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhadj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameitaka Kamati ya Msikiti wa Masjid Taqwa kushirikiana na waumin wa mskiti huo katika utatuzi wa changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii.Alhadj Dk.Mwinyi ametowa wito huo leo katika Ufunguzi wa msikiti mkuu wa Ijumaa wa ‘Masjid Taqwa’ uliopo Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa …